Machapisho

FANYA HIVI UKIIBIWA SIMU YAKO

Mambo matano unayotakiwa kufanya iwapo simu yako ya mkononi imeibiwa 20 Aprili 2022 simu CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Mtu yeyote yule anaweza kuibiwa simu Tunaburudika tukiwa mbali na nyumbani, tunapuuzilia mbali kutumia simu ya rununu kwa muda na tunapoangalia mfukoni, begi au mahali tulipoiweka, haipo tena. Wezi wanaweza kuwa na ujuzi mkubwa wa kuiba simu za mkononi kwa kipindi kifupi tu. Mbali na kutufanya tujisikie vibaya, wizi wa simu za mkononi unaweza kuathiri hati na data ya kibinafsi na kusababisha athari katika akiba zetu Zifuatazo ni hatua tano unazotakiwa kuchukua iwapo simu yako imeibwa. 1. Ifunge simu yako Iwapo simu yako ya mkononi itaibiwa, hatua ya kwanza ni kuzuia kifaa hicho mara baada ya kupotea, kwa mujibu wa Emilio Simoni, mtaalamu wa usalama wa kidijitali na mkurugenzi wa dfndr Lab, wa kikundi cha CyberLabs-PSafe. "Ni muhimu sana kuwasiliana na kampuni ya simu unayotumia na kuwaomba waifungie kwa muda na kuifanya simu isiweze kutumi...

ZIJUE HAKI NA WAJIBU WA MTUMISHI WA UMMA

Haki na Wajibu wa Mtumishi wa Umma Mtumishi wa Umma una wajibu wa kutumia elimu, ujuzi na bidii katika kutoa huduma bora kwa wananchi. Kadhalika una haki na stahiki mbalimbali unazopaswa kuzipata kutoka kwa mwajiri wako kama ifuatavyo:- 2.3.1 Kupewa Mkataba wa Kazi (Barua ya Ajira) Mtumishi wa Umma una haki ya kupewa barua ya ajira inayoonesha jina lako, anuani yako, tarehe ya ajira, aina ya ajira, cheo, ngazi ya mshahara, kiwango cha mshahara na masharti mengine ya ajira yako [Rejea Kanuni D.32 ya Kanuni za Kudumu Katika Utumishi wa Umma, 2009]. 2.3.2 Posho ya Kujikimu Unapoajiriwa kwa mara ya kwanza unastahili kulipwa posho ya kujikimu ya siku 7 kwa ajili yako,. (Rejea Kanuni ya L. 6. Kanuni za Kudumu Katika Utumishi wa Umma, 2009 pamoja na marekebisho yake ya mwaka 2011). Aidha, unastahili kupata posho ya njiani kwa safari inayozidi masaa sita (6). Posho hii hulipwa kwa kiwango cha nusu ya posho ya kujikimu ya siku moja [Rejea Kanuni L. 2(3) ya Kanuni za Kudumu Katika Utumishi wa...

NAKULETEA STORY YA ROMA MKATORIKI KATIKA MAISHA YAKE YA NDOA ANASHEREHEKEA MIAKA 7 YA NDOA YAKE

Picha
  anaandika R.O.M.A MKATORIKISiku 1 Nikiwa Shule,Nilialikwa Kwenye Sherehe Ya Communio Nyumbani Kwa Binti Mmoja Niliyekuwa Nikimuwinda Sana Aingie Kwenye 18 Zangu.Siku Hiyo Aliponialika Nikafurahi Sana Na Kusema LEO LINAKUFA JITU,Mchongo Ulikuwa Unafanyika Bom Bronx Kiwalani…Baba Ako Nikatimba Na Mwanangu Kufika Kwa Party M2 Shazi,Binti Alialika Rafiki Zake Wa Kike Na Kiume, Mbaya Zaidi Kwenye Hao Machizi Wa Kiume Binti Alikuwa Ana-Date Nao Kadhaa (BINTI MJUAJI SANAAA)Kwaio Akawa Kama Kagonganisha Subaru Hivi!Binti Akawa Anashindwa Kujigawa Aende Wapi,Mi Nipo Tu Na Mwana Tuna 🍻 Beer Ya 1,Beer Ya 2,Beer Ya Tatu Aah Nikaona Sio Kweli Mbona Kinyonge, Binti Akija Kwangu Anauliza Tu Mko Poa? Aaf Anapotea,Akienda Kwa Wana Analikita Masaa Mawili! SIKUPENTAA! Nikawa Namchana Mwana Tubwage, Mwana Akasema Tukaze Huyu Wetu Leo! Dakika Chache Mbele MUUJIZA UKATOKEA Alikuja Dada M1 (Ambaye Ni Rafiki Wa Yule Binti) Akaja Kutuhudumia Vinywaji Na Kuanza Kutupa Kampani (Nahisi Aliona Tumekaa K...

MWALIMU MATATANI KWA TUHUMA ZA KUJERUHI MWANAFUNZI

:  Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia Mwalimu Joseph Mwahenya (34) wa Shule ya Sekondari Mlowo ya kutwa iliyoko Wilaya ya Mbozi akituhumiwa kumshambulia Costantino Nebart Mwazembe (18) ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule hiyo sehemu mbalimbali za mwili kwa kumpiga na fimbo, ngumi na mateke kwa sababu za utovu wa nidhamu na kumsababishia kushindwa kusimama, kukaa wala kutembea ambapo mpaka sasa mwanafunzi huyo amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi Vwawa akiendelea na matibabu. By thenyota chriss 

KATIKA KUANGAZIA TOZO MTAALAMU WA UCHUMI JUU YA TOZO

KATIKA KUANGAZIA MASUALA YA UCHUMI HASA KATIKA TOZO ZA SERIKALI mtaalamu wetu wa uchumi DK SHAUKU KIHOMBO kwa kina anafafanua kwa kina juu ya hilo fuatilia video https://drive.google.com/file/d/1NHD9I6wudEdV9dJMWIjDtjYOTHTGicyF/view?usp=drivesdk

TUNAKULETEA MAGAZETI YA LEO TAREHE 06/10/2022

Picha
MAGAZETI YANAANGAZIA MITIHANI YA DARASA LA SABA habari kubwa ni wanafunzi waliouwawa kabla ya mitihani hiyo kufanyi

HACKER APEWA ZAWADI YA JEZI BAADA YA KUHACK WEBSITE YA BAYERN MUNIC

Picha
Bayern Munich wampa zawadi ya jezi shabiki aliye-hack website yao Club ya Bayern Munich ya Ujerumani imetangaza kumpa zawadi ya jezi ya Bayern Munich iliyosainiwa na Thomas Muller shabiki aliyekuwa ame-hack website yao. Shabiki huyo aliyejulikana kwa jina la Daniel Martin amepewa zawadi hiyo baada ya ku-hack website ya club na kukuta taarifa za siri zilitaka kuvuja kisha kutatua tatizo hilo na kuzuiwa taarifa muhimu za club kutovuja kisha kutoa taarifa kwa club. Daniel ni mtaalam wa masuala ya usalama wa taarifa za mtandaoni na alikuwa na dhamira ya kutembelea website ya club yake pendwa ila akuta kuna tatizo la configurations ambalo lingepelekea kuvuja kwa taarifa za siri za club ikiwemo taarifa za fedha. Thomas Muller Shabiki huyo amepewa jezi ya Muller kwakuwa Muller ndio icon ya club kwa sasa akiwa amefunga magoli 228 katika michuano yote ambaye amechezea club hiyo