NAKULETEA STORY YA ROMA MKATORIKI KATIKA MAISHA YAKE YA NDOA ANASHEREHEKEA MIAKA 7 YA NDOA YAKE
anaandika R.O.M.A MKATORIKISiku 1 Nikiwa Shule,Nilialikwa Kwenye Sherehe Ya Communio Nyumbani Kwa Binti Mmoja Niliyekuwa Nikimuwinda Sana Aingie Kwenye 18 Zangu.Siku Hiyo Aliponialika Nikafurahi Sana Na Kusema LEO LINAKUFA JITU,Mchongo Ulikuwa Unafanyika Bom Bronx Kiwalani…Baba Ako Nikatimba Na Mwanangu Kufika Kwa Party M2 Shazi,Binti Alialika Rafiki Zake Wa Kike Na Kiume, Mbaya Zaidi Kwenye Hao Machizi Wa Kiume Binti Alikuwa Ana-Date Nao Kadhaa (BINTI MJUAJI SANAAA)Kwaio Akawa Kama Kagonganisha Subaru Hivi!Binti Akawa Anashindwa Kujigawa Aende Wapi,Mi Nipo Tu Na Mwana Tuna 🍻 Beer Ya 1,Beer Ya 2,Beer Ya Tatu Aah Nikaona Sio Kweli Mbona Kinyonge, Binti Akija Kwangu Anauliza Tu Mko Poa? Aaf Anapotea,Akienda Kwa Wana Analikita Masaa Mawili! SIKUPENTAA! Nikawa Namchana Mwana Tubwage, Mwana Akasema Tukaze Huyu Wetu Leo! Dakika Chache Mbele MUUJIZA UKATOKEA Alikuja Dada M1 (Ambaye Ni Rafiki Wa Yule Binti) Akaja Kutuhudumia Vinywaji Na Kuanza Kutupa Kampani (Nahisi Aliona Tumekaa Kinyonge), NILIMUELEWA SANA, KatiKati Ya Maongezi Nikazuga Sina Vocha Nikaomba📱Yake Kupiga, Aliponipa Nikajipigia Mwenyewe NikaSave Number! AKILI MTU WANGUBaadaye NikamText Huyo Dada ‘Mna Plan Ya Kutoka Baada Ya Hii Sherehe?’ Nikaandika Jina Langu! Alishangaa Sana Mimi Kuwa Na Namba Yake, “Akacheka” Alipocheka Tu Nikajiambia Moyoni BAAASI KAISHAAA!Mara Kidogo Yule Mwanangu Akaondoka Kutupisha, HAALAND KABAKI NA KIPA UNATEGEMEA NINIBasi Hivyo Ndivyo Nilivyokutana Na Huyu Dada,Na Ndivyo Alivyoingia Kwenye Hii Mikono Yangu,Nami Nikaingia Kwenye Moyo Wake,Nikampotezea Yule Mgonganisha Subaru!Maake Apo Kwanza Ncheke😁😁Miaka Kadhaa Mbele Dada Huyu Akani-Bless Na Ka-Kid Kakiume! Miaka Kadhaa Mbele Tukafunga NDOA Basi Bwana Siku Ya Ndoa Tukamualika Na Yule Binti Mgonganisha Subaru, Akaja, Kula Sana Vombo,Unaambiwa Alikuwa Anacheza Kila Wimbo,Aliwaka Saanaa,MC Akiita Waliosoma Na Bwana Harusi Anakuja, Akisikia Tena Ndugu Upande Wa Mke Anaibuka,Sijui Wanajumuiya Wenzie Mama Mkwe Huyu Hapa😁 Maisha Yaliendelea…. Tukapitia -Ups & Downs -Challenges & Opportunities -Smiles & Tears -Positives & Negatives -Afya & Uzima AND NOW WE HERE CELEBRATING OUR 7th ANNIVERSARY ❤️❤️❤️ #NB Sema Tukitimiza Anniversary Ya 10, Mimi Namrudia Mgonganisha Subaru Naona Mke Wa Pili😁 usisahau kulike na kukoment. all the best R.O.M.A nakutakia maisha mema na mama ivan 2030 waitingi
Nahitaji maoni jamani
ReplyDelete