MWALIMU MATATANI KWA TUHUMA ZA KUJERUHI MWANAFUNZI

:  Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia Mwalimu Joseph Mwahenya (34) wa Shule ya Sekondari Mlowo ya kutwa iliyoko Wilaya ya Mbozi akituhumiwa kumshambulia Costantino Nebart Mwazembe (18) ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule hiyo sehemu mbalimbali za mwili kwa kumpiga na fimbo, ngumi na mateke kwa sababu za utovu wa nidhamu na kumsababishia kushindwa kusimama, kukaa wala kutembea ambapo mpaka sasa mwanafunzi huyo amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi Vwawa akiendelea na matibabu. By thenyota chriss 

Comments

Popular posts from this blog

RIWAYA YA KISWAHILI NA SIFA ZAKE

KI 311 SEMANTIKI NA PRAGMATIKI YA KISWAHILI

SEMANTIKI NA PRAGMATIKI