WALIMU WA MPWAPWA WASHUKURU HALMASHAURI YA BAHI KWA MAWAZO YA KUINUA UFAURU
Katika kikao chao ambacho walimu wa mpwapwa waliomba kujifunza mbinu za kuinua taaluma ikiwa ni lengo la kuifanya dodoma mpya ya kielimu
aidha katika hali isiyo ya kawaida walimu wameshangaa Bahi walivyoweza kushirikiana katika suala la kielimu kwa pamoja ikiwa kuanzia wazazi na viongozi wote katika idara mbalimbali.
kwaherini bahi karibuni mpwapwa mwakani mtajifunza kwetu pia.
Comments
Post a Comment
Tafadhari usicomment matusi