FAHAMU VIKEMBE AU VIZALIA VYA WANYAMA MBALIMBALI
1.Bata – Kiyoyo
2.Ndovu – Kidanga
3.Nyani – Kigunge
4.Mbweha – Nyamawa
5.Fisi – Kikuto
6.Chui – Kisui/chongole
7.Simba – Shibli/Kibuai
8.Sungura – Kitungule
9.Punda – Kihongwe
10.Ngamia – Nirihi/Nirigi
11.Kondoo – Kibebe/Katama
12.Mbuzi – Kimeme/kibuli
13.Mbwa. – Mbwa/kidue/kilebu
14.Nguruwe – Kivinimbi
15.Farasi – Kitekli
16.Ndege/nyuni – Kinda
18.Paka – Kipusi/Kinyaunyau
17.Ngombe – Ndama
19.Chura – Kiluwiluwi
20.Samaki – kichengo
21.Mamba – Kingwena
22.Nyangumi – Kinyangunya
23.Papa – kinegwe
24.Nyoka – Kinyemere
25.Nzige – Kimatu/matumatu/funutu/tunutu/maige
26.Kipepeo – kiwavi
27.Nzi – Buu
28.Nge – kisuse
29.Nyuki – Jana
30.Mbu – Kiluwiluwi
31.Binadamu – Atifali/mwana
Comments
Post a Comment
Tafadhari usicomment matusi