Posts

Showing posts from October, 2022

NAKULETEA STORY YA ROMA MKATORIKI KATIKA MAISHA YAKE YA NDOA ANASHEREHEKEA MIAKA 7 YA NDOA YAKE

Image
  anaandika R.O.M.A MKATORIKISiku 1 Nikiwa Shule,Nilialikwa Kwenye Sherehe Ya Communio Nyumbani Kwa Binti Mmoja Niliyekuwa Nikimuwinda Sana Aingie Kwenye 18 Zangu.Siku Hiyo Aliponialika Nikafurahi Sana Na Kusema LEO LINAKUFA JITU,Mchongo Ulikuwa Unafanyika Bom Bronx Kiwalani…Baba Ako Nikatimba Na Mwanangu Kufika Kwa Party M2 Shazi,Binti Alialika Rafiki Zake Wa Kike Na Kiume, Mbaya Zaidi Kwenye Hao Machizi Wa Kiume Binti Alikuwa Ana-Date Nao Kadhaa (BINTI MJUAJI SANAAA)Kwaio Akawa Kama Kagonganisha Subaru Hivi!Binti Akawa Anashindwa Kujigawa Aende Wapi,Mi Nipo Tu Na Mwana Tuna 🍻 Beer Ya 1,Beer Ya 2,Beer Ya Tatu Aah Nikaona Sio Kweli Mbona Kinyonge, Binti Akija Kwangu Anauliza Tu Mko Poa? Aaf Anapotea,Akienda Kwa Wana Analikita Masaa Mawili! SIKUPENTAA! Nikawa Namchana Mwana Tubwage, Mwana Akasema Tukaze Huyu Wetu Leo! Dakika Chache Mbele MUUJIZA UKATOKEA Alikuja Dada M1 (Ambaye Ni Rafiki Wa Yule Binti) Akaja Kutuhudumia Vinywaji Na Kuanza Kutupa Kampani (Nahisi Aliona Tumekaa K...

MWALIMU MATATANI KWA TUHUMA ZA KUJERUHI MWANAFUNZI

:  Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia Mwalimu Joseph Mwahenya (34) wa Shule ya Sekondari Mlowo ya kutwa iliyoko Wilaya ya Mbozi akituhumiwa kumshambulia Costantino Nebart Mwazembe (18) ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule hiyo sehemu mbalimbali za mwili kwa kumpiga na fimbo, ngumi na mateke kwa sababu za utovu wa nidhamu na kumsababishia kushindwa kusimama, kukaa wala kutembea ambapo mpaka sasa mwanafunzi huyo amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi Vwawa akiendelea na matibabu. By thenyota chriss 

KATIKA KUANGAZIA TOZO MTAALAMU WA UCHUMI JUU YA TOZO

KATIKA KUANGAZIA MASUALA YA UCHUMI HASA KATIKA TOZO ZA SERIKALI mtaalamu wetu wa uchumi DK SHAUKU KIHOMBO kwa kina anafafanua kwa kina juu ya hilo fuatilia video https://drive.google.com/file/d/1NHD9I6wudEdV9dJMWIjDtjYOTHTGicyF/view?usp=drivesdk

TUNAKULETEA MAGAZETI YA LEO TAREHE 06/10/2022

Image
MAGAZETI YANAANGAZIA MITIHANI YA DARASA LA SABA habari kubwa ni wanafunzi waliouwawa kabla ya mitihani hiyo kufanyi

HACKER APEWA ZAWADI YA JEZI BAADA YA KUHACK WEBSITE YA BAYERN MUNIC

Image
Bayern Munich wampa zawadi ya jezi shabiki aliye-hack website yao Club ya Bayern Munich ya Ujerumani imetangaza kumpa zawadi ya jezi ya Bayern Munich iliyosainiwa na Thomas Muller shabiki aliyekuwa ame-hack website yao. Shabiki huyo aliyejulikana kwa jina la Daniel Martin amepewa zawadi hiyo baada ya ku-hack website ya club na kukuta taarifa za siri zilitaka kuvuja kisha kutatua tatizo hilo na kuzuiwa taarifa muhimu za club kutovuja kisha kutoa taarifa kwa club. Daniel ni mtaalam wa masuala ya usalama wa taarifa za mtandaoni na alikuwa na dhamira ya kutembelea website ya club yake pendwa ila akuta kuna tatizo la configurations ambalo lingepelekea kuvuja kwa taarifa za siri za club ikiwemo taarifa za fedha. Thomas Muller Shabiki huyo amepewa jezi ya Muller kwakuwa Muller ndio icon ya club kwa sasa akiwa amefunga magoli 228 katika michuano yote ambaye amechezea club hiyo

VUMBI LA KONGO KUCHUNGUZWA NI AGIZO LA RAIS

Image
k atika hotuba yake rais amesema“Lishe bora ni muhimu kwa Jamii, Wajawazito tunawapa lishe bora ili watoe Watoto wenye afya lakini Watoto wakizaliwa wanatakiwa pia kutunzwa na hata wakifika umri wa balehe wanapaswa kutunzwa ili wazae Watoto wenye afya ila Watoto balehe tufanye tafiti tunakosea wapi? kwanini wanakuwa na lishe mbovu? je ni masuala yaliyoingia ya mitindo? nataka niwe sijui na six packs!? nataka sijui niwe slim nisizidi kilo ngapi? nataka sijui mbavu ikae hivi?. “Kwanini Watoto wetu wakifika wakati wa kuongeza Jamii wanahangaika, mara supu ya pweza…… tuna tatizo na mnalijua mnalificha, Watafiti fanyeni utafiti……. tatizo hili kwasababu halisemwi ni siri linaumiza zaidi Vijana wetu, mara sijui udongo wa Congo (vumbi la Mkongo), mara sijui kitu gani lakini tatizo kubwa lipo kwenye lishe, sasa Watafiti chunguzeni tunafanyaje Watoto wetu wawe Shababi” “Tukiacha hali iwe hivi tunakwenda kuwa na Taifa goigoi, lenye Watu lakini sio rasilimali Watu ni Watu ambao ni mzigo kwa Taif...