ITENGULINYI WALA TATU 3_2
Timu ya walimu wa ifunda katika kombe la diwani wameifunga timu ya kijiji cha itengulinyi kata ya ifunda katika mchezo uliogubikwa na utata mkubwa baada ya mashabiki wa timu hiyo kuanza kuigomea penati kwa madai kuwa ilikuwa siyo ya kweli lakini mwisho walikubari na penati kuzaa goli la pili la kuiwezesha timu ya walimu ya ifunda kuongoza kipindi cha pili timu ya itengulinyi ilipata penati na kukosa goli hilo baada ya kipa machachali wa timu ya walimu kuidaka vizuri na mda sio mrefu walisawazisha goli la pili na mwisho mwalimu mmoja kupachika goli tamu ambalo halikurudishwa mwisho ni 3_2 walimu kuongoza
Comments
Post a Comment
Tafadhari usicomment matusi