BABU ASEMA ITENGULINYI WAMEKWISHAAA
Kikosi cha timu ya walimu ifunda
Kocha wa timu ya walimu ifunda maarufu kama BABU akiongea na mwalimu mchezaji maarufu kama MUHENGA mwalimu UTENGA amesema kutokana na ushindi walioupata kwenye mechi yao hapo jana katika kijiji cha ITENGULINYI matokeo hayo yanawawezesha kufuzu kuendelea mbele zaidi ya michuano hiyo.
Na THENYOTA CHRISS
Maoni
Chapisha Maoni
Tafadhari usicomment matusi