Machapisho

YASOME HAPA MAGAZETI YA LEO TAR 24/04/2018

Picha

LEO KATIKA MAGAZETI

Picha
Na thenyota chriss amekuandalia kurasa za mbele za magazeti usiache kusubsribe kukoment na kushare

JEBII AMETUTOAKA SWAHIBA WETU WA DAMU

Picha
Msanii wa bongo fleva anayefahamika kwa jina la Jebby ambaye amewahi kufanya vyema na wimbo kama Swahiba amefariki dunia leo April 22, 2018 mjini Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Watu wa karibu na msanii Jebby wamesema kuwa msanii huyo alikuwa anaumwa na mpaka umauti umemkuta Dodoma alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya bandama na ndiyo yaliyosababisha kifo chake. Msanii Afande Sele pia amethibitisha hilo na kusema kuwa Jebby alikuwa anasumbuliwa na matatizo hayo ya bandama na kuwa leo ndiyo amefariki dunia. "Hayupo tena duniani swahiba...pumzika kwa amani mdogo wangu wa haki Jebby.Tukimaliza kazi tutavalishwa taji"

KWA SHERIA MPYA YA TCRA KILIO CHETU

Kama ilivyoandikwa na maadimi wa blogs tanzania Sheria mpya na gharama za usajili na tozo kwa shughuli za mitandaoni zinazohusiana na blogs, website, forums, YouTube, TV na radio imeleta majonzi kwa watanzania na wamiliki wa mitandao hiyo ambao kwa kiasi kikubwa ni vijana wa kipato cha chini waliojiajili kulingana na ugumu wa ajira nchini. Kwaniaba ya watanzania na bloggers, uongozi wa blog hii unaandika kwa kusema haya:- Binafsi tupende kuchangia kidogo juu ya sheria mpya ya usajili na ulipiaji wa huduma ya online content kwa blogs, website, YouTube channels na huduma nyinginezo zihusuzo online content service. Niwazi kuwa serikali yetu ya Tanzania kwa jicho la pekee imeona kuwepo kwa umuhimu wa kufanya jambo hili ikiwemo kudhibiti utoaji wa Taarifa za uongo, uchochezi na uvujishwaji Siri za serikali, uvunjifu wa amani ya nchi, utoaji wa maudhui machafu na yenye lengo la kuharibu utamaduni wa kitanzania n.k. Nchini Tanzania mapinduzi ya kiteknolojia juu ya huduma ya utoaji ...

PICHA MBALIMBALI ZA BLOGGER WETU KABLA NA BAADA YA MWAKA MPYA

Picha