Machapisho

JAGUAR NA JIMBO

Habari kubwa Mbili zilizoripotiwa kwenye Taarifa ya habari ya K24 Kenya Kamati iliyobuniwa kutatua mizozo na malalamishi ya uchaguzi wa mchujo wa chama cha Jubilii imemtangaza Charles Jaguar maarufu kama Jaguar kuwa mshindi wa uchaguzi wa mchujo wa ubunge katika jimbo la starehe

SOMA MAGAZETI YA MEIMOSI HAPA

Picha
HABARI ZA ASUBUHI FRIENDS WANGU NAKUKARIBISHA TENA LEO MEI MOSI KUPITIA KURASA ZA MAGAZETI YETU HAPA BONGO LAND

YANGA YAKAANGWA KILUMBA MBAO ZATUMIKA KUUNGUZA

Picha
Baada ya Jumamosi ya April 29  Simba  kucheza mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la  Azam  Sports Federation Cup dhidi ya  Azam FC  na kufanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na  Mohamed Ibrahim  dakika ya 48,  Yanga  leo walishuka dimba kucheza nusu fainali dhidi ya  Mbao FC. Yanga  waliingia katika uwanja wa  CCM Kirumba  kuikabili  Mbao FC  katika mchezo huo wa nusu fainali, kabla ya mchezo kumalizika  Yanga  ndio alikuwa Bingwa mtetezi wa michuano hiyo, kwa bahati mbaya  Yanga  amevuliwa Ubingwa kwa kufungwa goli 1-0 lililopatikana kwa beki wake  Andrew Vincent   kujifunga dakika ya 27. Ushindi wa  Mbao FC  ambao wanaingia fainali hiyo kwa mara ya kwanza ikiwa ni msimu wao wa kwanza toka wapande kucheza Ligi Kuu, unaifanya sasa kukutana na  Simba  katika mchezo wa fainali ya michuano hiyo ya Kombe la  FA (ASFC)  ...

MAJINA YA WATUMISHI HEWA TANZANIA NZIMA TAZAMA HAPA

MOEST.GO.TZ.CO. THENYOTAHOTNEWS.BLOGSPOT.COM
KWA WASOMAJI WETU TUNAOBA RADHI KWA KUTOKUKULETEA HABARI KEA SASA TUPO KATIKA MATENGENEZO KIDOGO YA BLOG YETU TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA
BABA MZAZI WA BEN SANANE AFUNGUKA HAYA SIKU chache baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, kuliambia Bunge kuwa Serikali haijui kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ben Saanane aliko na zaidi akipinga taarifa za kutekwa, familia ya kijana huyo imesema juhudi zao za kumtafuta zimegonga mwamba. Akizungumza Jumamosi, baba mzazi wa Ben Saanane, Focus Saanane, ameiomba Serikali pamoja na vyombo vya dola kusaidia juhudi za kumtafuta, kwani  juhudi zao zimegonga mwamba na suala hilo lipo nje ya uwezo wao kwa sasa. "Toka mwanangu Ben apotee imepita miezi sita na hakuna jitihada zilizofanyika za kumtafuta, hata kama zimefanyika basi nguvu ni ndogo sana, hivyo basi, sisi kama familia tunaiomba Serikali pamoja na vyombo vya dola kusaidia juhudi za kumtafuta,” alisema. Suala la kutoweka kwa Ben Saanane liliibuka kwa mara nyingine wiki hii kiasi cha kutikisa mhimili wa Bunge, kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, hajahitimisha kwa kusema kuwa Serika...
Picha
SOMA MAGAZETI YA LEO