JAGUAR NA JIMBO


Habari kubwa Mbili zilizoripotiwa kwenye Taarifa ya habari ya K24 Kenya

Kamati iliyobuniwa kutatua mizozo na malalamishi ya uchaguzi wa mchujo wa chama cha Jubilii imemtangaza Charles Jaguar maarufu kama Jaguar kuwa mshindi wa uchaguzi wa mchujo wa ubunge katika jimbo la starehe

Comments

Popular posts from this blog

RIWAYA YA KISWAHILI NA SIFA ZAKE

KI 311 SEMANTIKI NA PRAGMATIKI YA KISWAHILI

SEMANTIKI NA PRAGMATIKI