KUTANA NA MTU MWENYE SURA MBILI

Mtu mwenye sura mbili. Edward Modrake mwanaume aliyezaliwa na sura mbili alitambulika zaid kama demon face yaan sura ya shetani. Modrake alizaliwa 1890 kwenye Karne ya 19 huko marekani akiwa na sura mbili moja ya kawaida na ya pili ikiwa kisogoni mwake. Kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe hii sura ya pili ilikuwa haina uwezo wa kula,kuona wala kuongea ila ilikuwa inaweza kulia, kucheka na kutoa vijisauti vya ajabu ajabu (weird noises) bila control yake. Modrake aliwaomba madaktari wasaidie kumfanyia operation ya kuondoa sura hiyo kwa madai kuwa ilikuwa inamnongo'neza vitu vya kuogofya usiku wa manane. Haikutajwa kama ombi hilo lilikubaliwa au lilikataliwa lakini Modrake alijiua yeye mwenyewe akiwa na umri wa miaka 23 akiacha ujumbe usemao "twende ukaendelee kuninong'oneza kaburini" Kuna series ya kifilipino niliingalia inaitwa CaraMia ina kisa kama hichi.

Comments

Popular posts from this blog

RIWAYA YA KISWAHILI NA SIFA ZAKE

KI 311 SEMANTIKI NA PRAGMATIKI YA KISWAHILI

SEMANTIKI NA PRAGMATIKI