HATA KAMA DEJAN ATAONDOKA SIMBA YANGU HILI WANATAKIWA KULIFANYIA KAZI
INAANDIKWA NA KIHOMBO CHRISPINE SHABIKI WA SIMBA
Acha niseme mimi wengine watafuata👀.
!!
Yes..Nimefuatilia toka kipindi cha Zoran Maki japo Dejan hakuwa fiti kiasi hicho lakini kuna dalili flani nimeziona na kuzifuatilia kwa kina.
Hii!! kampeni ya baadhi ya wachezaji wa Simba kumnyima pasi Dejan.."Acheni mara moja hii kitu 🗣️Sikutaka kusema awali!".
Kuna muda unaona kabisa Dejan anafungua njia kwa ajili ya kupokea pasi mpenyezo lakini utakuta mtu anaturn na kupiga back pasi it's not fair.
Ukweli wa sasa ukimtazama Dejan anaendelea kuimarika anautaka mpira na hofu imekwisha kabisa naamini kuna kitu Mgunda amemweleza relax na piga boli mzungu.
Kwanini?Namjua Mgunda Mgunda kwa uzuri ni Kocha ambaye anaweza kumtoa mchezaji matongotongo na kumletea ubora.nimeeleweka!!
Nimeona kitu hicho kinaendelea na kimetokea game na Malindi Fc Dejan alikuwa katika wakati mzuri sana lakini Okrah hakugawa upendo.
OKrah namkubali lakini kuna muda ana usakho ndani yake yaani uchoyo flani hivi usio na faida japo sio kwa kiasi hicho.
Wehenga wanasema uvumilivu unamwisho,hakika wakati umefika kwa Dejan kufikisha ujumbe kwa vitendo "Liwalo na liwe".
So naungana nae kwa asilimia 100% kuonyesha hali hiyo ya kureact pasi na shaka...niseme ushirikiano ni muhimu sana kuliko ubinafsi.
NB:-Kuanzia sasa naanzisha kampeni ya Dejan Kunyimwa pasi na baadhi ya nyota kadhaa ndani ya kikosi hicho🦁!!.
Ndio!Pamoja na ubora wa Phiri lakini unaona anavyopewa ushirikiano mkubwa wa kutengewa mipasi ya maana iwe Chama nk ila Dejan watu wanaturn au kupiga pasi ngumu kumeza.
Najua kuna baadhi wanasimba mtalipuka kwenye hili lakini huu ukwelimtupu na siku zote ukweli mchungu.
TaswirazaMkai Sipo hapa kwa ajili ya kuwavuruga nipo kwa ajili ya kujenga ndio maana nimesema acha mimi nibebe lawama kisha wengine wafuate.
You are real shabiki na umeona vingi na vizuri katika hili 👍👍
ReplyDeleteBro siamini kama tunaweza kufika kwa kuweka ugailifu kwenye soka kama hivi sawa jamaa sio mzuri kiivyo ila alitengwa sana hata mashabiki ni kumwimbia tu mlete Mdhungu hata kama uwe ww huwezi kuperform better
DeleteHahahahahhaa kwani yeye ni nani bhana acha asepe tu
ReplyDelete