Posts

Showing posts from August, 2017

SOMA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAR 25 /08

Image
SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA KUBWA ZAIDI HAMISA MOBETO NA MTOTO WAKE MAPYA YAIBUKA TEENA   

TAZA HAPA PICHA MBALIMBALI ZA MECHI YA SIMBA NA YANGA.

Image
Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akiwania mpira wa mshambuliaji wa Yanga Donald ngoma katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi Uwanja wa Taifa. Kiungo wa Yanga Rafael Daud akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa Taifa Beki wa kati wa Yanga Kelvin Yondani na mshabuliaji wa Simba Laudit Mavugo wakigombania mpira katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea hivi sasa Uwanja wa Taifa. Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma akimruka beki wa Simba Method Mwanjali katika mchezo wa ufunguzi wa ligi wa Ngao ya Jamii unaoendelea sasa hivi Uwanja wa Taifa Golikipa Rostand Youthe akiruka juu na kudaka mpira akiwa sambamba na mshabuliaji wa Simba Emanuel Okwi. Kiungo wa Simba Haruna Niyonzima akipiga pigo la adhabu nje ya kumi na nane Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma akipambana na beki wa kati wa Simba Salim Mbonde katika mchezo wa ufunguzi wa ligi Ngao ya Jamii. Mashabiki w...

MAGAZETI YA LEO TAR 22AUGUST YASIKUPITE MTU WANGU

Image
Aliyevujisha Siri ya Bombardier Kwa Lissu Asakwa....Habari Zilizopo Katika Magazetibya Leo Jumanne ya August 22 Visit website