Machapisho

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

*🔥🔥🔥COMPUTER WINDOWS AND PROGRAMMES INSTALLATION🔥🔥🔥* *_SIKU HIZI MAMBO YAMERAHISISHWA PIGA SIMU AU TUMA SMS HUDUMA IKUFIKIE ULIPO* *HUDUMA ZETU NI KAMA IFUATAVYO* 🛠️ *computer maintenance* hardware and software troubleshooting kwa muda muaafaka na gharama nafuu kabisa* *🖊️WINDOWS INSTALLATION AND ACTIVATION,* kama vile 👉🏼Windows 7, 👉🏼Windows 8 & 8.1 👉🏼Windows 10 👉🏼Windows XP, Ubuntu, Linux etc. *🖊️PROGRAMMES INSTALLATION* 👉🏼Adobe Photoshop cc 2017 👉🏼Drivers 👉🏼Media Players kama vile; Vlc, Visual DJ, JetAudio, Pot, Rich etc. 👉🏼Antivirus; kama vile; 360 Total Security, Smadav, IObit-Malware Fighter, AVG_Protection, etc. 👉🏼Microsoft Offices, 2007, 2010, 2013 & 2016. 👉🏼Adobe Reader (PDF) Reader 👉🏼Browsers kma vile; Firefox, Opera, Chrome etc. *🖊️PIA TUNAUZA SETUP/IMAGE ZA WINDOWS NA PROGRAMME MBALIMBALI KWA BEI NAFUU SANA* *🖊️SIYO HIVYO TU PIA TUNAFUNDISHA JINSI YA KUINSTALL WINDOWS NA PROGRAMMES MBALIMBALI PAMOJA NA...

NIMEKUSOGEZEA MAGAZETI YA LEO TAREHE 26/03/2020

Picha
Kutana na magazeti ya leo tarehe 26/03/2020

TAMISEMI WARUHUSU KUBADILI COMBINATION

Kwa wanafunzi ambao wanahitaji kubadilisha combination ingia hapa http://selform.tamisemi.go.tz/Account/Login Usisahau kusubscribe na kushare

HAYA NDIYO MABADILIKO UNAYOTAKIWA KUJUA

Usipobadilika, Dunia Itakubadilisha 1. Dunia ya Leo sio Dunia ya Kesho Tunaishi katika dunia mbayo huwezi kujua nini kitatokea kesho. Miaka michache iliyopita, hakuna aliyejua kwamba biashara ya Taxi itachukuliwa na UBER, BOLT, OLA CABS, LIM nk. Hakuna aliyejua kwamba leo hii mtu mwenye nyumba yake ya vyumba 3 atakuwa akigombania wateja "customers" dhidi ya mahoteli makubwa ya nyota 5 kama Hilton na Wyndham Worldwide kupitia Air BnB. Hakuna aliyejua kwamba NETLFIX itakuwa na nguvu kuliko vituo vya Tv na majumba ya sinema kama Century Cinemax. Na mbaya zaidi, hakuna aliyejua kwamba kazi nyingi zikiwemo za kitaalamu kama za wanasheria “lawyers”, madaktari “doctors”, marubani wa ndege “pilots” na waamuzi wa michezo mbalimbali ikiwemo soka “referees” zitachukuliwa na mashine au “robots”. Haya mabadiliko yapo kila sehemu kuanzia kwenye uchumi mpaka kwenye familia. Nani leo hii alijua kwamba itafika siku mwanamume na mwanamume wataruhusiwa kuwa mume na mke? “same sex marriage...

TANZU ZA USHAIRI WA KISWAHILI

Ushairi wa Kiswahili waweza kuainishwa katika tanzu au kumbo mbalimbali. Mulokozi (1996), ameuainisha ushairi wa kimapokeao katika kumbo kuu tatu za kimtindo. Kumbo hizo ni: ushairi wa kijadi au kimapokeo; ushairi wa mlegezo; na ushairi wa maigizo. 1. Ushairi wa Kimapokeo Haya ni mashairi ya kijadi yenye kufuata kanuni za urari wa mizani na mpangilio wa vina vya mwisho na/au vya kati. Mfano wa shairi la kimapokeo ni huu hapa: Namshukuru Namshukuru Illahi, Mwenyezi mkamilifu, Kwa kuishi nikawahi, kazini kustaafu, Bado ningali sahihi, imara na mkunjufu, Alihamdulilahi, namshukuru Latifu. Ulimwengu wa rakadha, umejaa hitilafu, Sikuweza mambo kadha: karibu mambo elfu; Kanipa hii karadha, Bwana Mungu namsifu, Alihamdulilahi, namshukuru Latifu. Hii sikutazamia, kwamba litanisadifu, Bahati imenijia, kwa kupenda Mtukufu, Mfano kama ruia, Mungu hana upungufu, Alihamdulilahi, namshukuru Latifu. (Shaaban Robert, 2003: 102 – 104) 2. Ushairi wa Mlegezo Haya ni mashairi...
*💥💥HESLB: MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO WALIKOSEA KUJAZA FOMU ZA MIKOPO/ FOMU ZAO ZINA MAPUNGUFU* 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 🗣 *BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU IMETANGAZA MAJINA 25000 YA WANAFUNZI WALIOKOSEA KUAJAZA FOMU ZA MIKOPO YA ELIMU YA JUU 2018/19* *🗣WANAFUNZI WOTE WANATAKIWA KUFANYA MAREKEBISHO KUANZIA J3 MPAKA JUMAPILI IJAYO 30 SEPTEMBER* *MAJINA YOTE YANAPATIKANA HAPA ...PAKUA PDF* 👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 https://udahiliportal.com/2018/09/heslb-public-notice-to-all-loan-applicants-2018-19-academic-year/ *TAFADHALI SAIDIA KUSHEA TAARIFA HII MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WALIAPPLY MIKOPO YA ELIMU YA JUU MWAKA HUU*

HIZI NI FAIDA ZA POMBE MWILINI

pombe ni nini? pombe ni neno ambalo linajumuisha aina zote za vilevi unazozifahamu, pombe za aina mbalimbali zinatengenezwa na kutumika na jamii zote duniani japokua kuna baadhi ya dini haziruhusu pombe. historia ya pombe inaonekana kwanzia zamani sana, kibiblia hata kabla ya kuzaliwa kwa yesu. sasa pombe ina hasara nyingi ambazo kila mtu anazifahamu ikinywea kwa kiasi kikubwa lakini kuna faida zake muhimu iwapo zikinywewa kwa kiasi kinachotakiwa. kiwango sahihi cha pombe ni kipi kiafya? kitaalamu mwanaume mmoja anatakiwa anywe vinywaji viwili vya pombe wakati mwanamke anatakiwa anywe kinywaji kimoja cha pombe. sasa tunaposema kinywaji hatumaanishi chupa pombe ila tunamaanisha kiasi cha pombe na asilimia zake ndani. kinywaji kimoja ni tunachozungumzia ni kama ifuatavyo... milimita 354 za bia ya kawaida yenye 5% ndio kinywaji kimoja. milimita 147 za wine au mvinyo yenye 12% ndio kinywaji kimoja. milimita 44 za pombe kali kama viroba zenye 40% ndio kinywaji kimoja. mfano hai tu...