Machapisho

MAGUFULI BAKI TU

Picha
Na Regina Mkonde   Rais John Pombe Magufuli ameendelea kupongezwa na wananchi pamoja na Taasisi za kiraia mbalimbali kutokana na misimamo yake na kazi kubwa anayoifanya ya kupigania rasilimali za nchi, kwa masilahi ya wanyonge na masikini. Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti leo, Julai 17, 2017 jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Masjid Ridhwaa, Alhaj Suleiman Seif Nassor na aliyekuwa mgombea wa CCM wa Ubunge Jimbo la Sengerema kupitia kura ya maoni, Laurence Mabawa. Wakati akizungumza na wanahabari, Alhaj Nassor amesema bodi hiyo imemamua kumpongea Dkt. Magufuli kutokana na kazi nzuri anayofanya tangu alipoingia madarakani. Kwa upande wake Mabawa, amesema licha ya kumpongeza Rais Magufuli, ameandaa kampeni kabambe inayojulikana kama ‘Magufuli Baki’ inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni kwenye mikoa yote nchini, ambapo kupitia mikutano wananchi wenye nia njema watamuomba rais abaki katika msimamo wake wa kuwatetea wanyonge na masiki...

MFAHAMU MWANDISHI WAKO

Picha
Ainatwa chriss wasiliana naye kwa kihombochriss@gmail.com

SOMA HAPA MAGAZETI YA LEO TAREHE 17 JULY

Picha
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya July 17 MPEKUZI  /  7 hours ago

FLARA HUYU MIMI

Picha
FLORA Mbasha: Mwanaume Kama Hakuridhishi Kinyumba Haina Haja ya Kuendelea nae UDAKU SPECIAL BLOG  /  43 minutes ago Akihojiwa na kituo cha redio Swahili FM leo asubuhi, Flora Mwenda (zamani Flora Mbasha) amefunguka mambo mazito sana. Huku akiwa live redioni, amemuambia mtangazaji wa kipindi kuwa moja ya sababu zilizopelekea kutengana na mume wake wa zamani, Emmanuel Mbasha, ni ugoigoi wake kitandani. “Unajua mimi nimeokoka siwezi kutoka nje ya ndoa, mwanaume anapokuwa hakuridhishi kiunyumba hakuna haja ya kuendelea kubaki naye", alisema Madam Flora. Mtangazaji alipombana afunguke zaidi, alikataa na kumueleza kwamba kila kitu amekisimulia kwenye kitabu chake kinachoitwa Siri Za Flora ambacho ameanza kukizambaza katika mikoa mbalimbali. Mtakumbuka kwamba siku za nyuma kuna baadhi ya watu walimsingizia kutembea na Askofu Gwajima, tuhuma ambazo amezikanusha vikali kwenye kitabu chake. Sasa wale wote mliomtungia uongo Madam Flora mmeumbuka mchana kweupe.

MPIRA UMEKWISHA NA HAYA NI MATOKEO

Picha
Mpira umekwisha kwa Everton kushinda bao 2-1, magoli yakifungwa na Rooney dakika ya 35 kabla  Tuyisenge wa Gor Mahia kusawazisha dakika mbili baadaye. Goli la ushindi la Everton limepatikana dakika ya 82 kupitia kwa Dowell.

USIPITWE NA MAGAZETI YA LEO MTU WANGU WA UKWELI

Picha
MAGAZETI Magazeti ya Tanzania leo July 14, A2017, Udaku , Michezo na Hardnews By Lonny TZA on July 14, 2017 COMMENTS Good Morning mtu wa nguvu, leo ni July 14  2017  na kama ilivyo kawaida yangu ya kila siku alfajiri nimekusogezea habari kubwa kwenye Magazeti kurasa za mwanzo na mwisho kuanzia ya  Udaku ,  Hardnews  na  Michezo  ili ujue kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu