USIPITWE NA MAGAZETI YA LEO MTU WANGU WA UKWELI
Good Morning mtu wa nguvu, leo ni July 14 2017 na kama ilivyo kawaida yangu ya kila siku alfajiri nimekusogezea habari kubwa kwenye Magazeti kurasa za mwanzo na mwisho kuanzia ya Udaku, Hardnews na Michezo ili ujue kinachoendelea Mtu wangu usiache kukaa karibu yangu
Comments
Post a Comment
Tafadhari usicomment matusi