Posts

Showing posts from April, 2017

YANGA YAKAANGWA KILUMBA MBAO ZATUMIKA KUUNGUZA

Image
Baada ya Jumamosi ya April 29  Simba  kucheza mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la  Azam  Sports Federation Cup dhidi ya  Azam FC  na kufanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na  Mohamed Ibrahim  dakika ya 48,  Yanga  leo walishuka dimba kucheza nusu fainali dhidi ya  Mbao FC. Yanga  waliingia katika uwanja wa  CCM Kirumba  kuikabili  Mbao FC  katika mchezo huo wa nusu fainali, kabla ya mchezo kumalizika  Yanga  ndio alikuwa Bingwa mtetezi wa michuano hiyo, kwa bahati mbaya  Yanga  amevuliwa Ubingwa kwa kufungwa goli 1-0 lililopatikana kwa beki wake  Andrew Vincent   kujifunga dakika ya 27. Ushindi wa  Mbao FC  ambao wanaingia fainali hiyo kwa mara ya kwanza ikiwa ni msimu wao wa kwanza toka wapande kucheza Ligi Kuu, unaifanya sasa kukutana na  Simba  katika mchezo wa fainali ya michuano hiyo ya Kombe la  FA (ASFC)  ...

MAJINA YA WATUMISHI HEWA TANZANIA NZIMA TAZAMA HAPA

MOEST.GO.TZ.CO. THENYOTAHOTNEWS.BLOGSPOT.COM
KWA WASOMAJI WETU TUNAOBA RADHI KWA KUTOKUKULETEA HABARI KEA SASA TUPO KATIKA MATENGENEZO KIDOGO YA BLOG YETU TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA
BABA MZAZI WA BEN SANANE AFUNGUKA HAYA SIKU chache baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, kuliambia Bunge kuwa Serikali haijui kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ben Saanane aliko na zaidi akipinga taarifa za kutekwa, familia ya kijana huyo imesema juhudi zao za kumtafuta zimegonga mwamba. Akizungumza Jumamosi, baba mzazi wa Ben Saanane, Focus Saanane, ameiomba Serikali pamoja na vyombo vya dola kusaidia juhudi za kumtafuta, kwani  juhudi zao zimegonga mwamba na suala hilo lipo nje ya uwezo wao kwa sasa. "Toka mwanangu Ben apotee imepita miezi sita na hakuna jitihada zilizofanyika za kumtafuta, hata kama zimefanyika basi nguvu ni ndogo sana, hivyo basi, sisi kama familia tunaiomba Serikali pamoja na vyombo vya dola kusaidia juhudi za kumtafuta,” alisema. Suala la kutoweka kwa Ben Saanane liliibuka kwa mara nyingine wiki hii kiasi cha kutikisa mhimili wa Bunge, kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, hajahitimisha kwa kusema kuwa Serika...
Image
SOMA MAGAZETI YA LEO
Image
ZITTO KABWE AANDIKA HAYA BAADA YA MAUAJI YA ASKARI NANE
Image
NAFUU YAJA SERENGETI BOYS Timu ya Taifa ya vijana wa chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) imepata nafuu zaidi kuelekea kufuzu mashindano ya Kombe la Dunia nchini India baada ya hatua ya Shirikisho la Kandanda Duniani (Fifa) kuifungia Mali kushiriki katika mashindano ya fainali za Afrika kwa Vijana nchini Gabon. Afisa Habari wa TFF, Alfred Lucas amesema kuwa tayari Shirikisho la Kandanda la Afrika (Caf) limeindoa Mali imeitangaza nchi ya Ethiopia kuungana na Tanzania, Angola na Niger katika kundi B la mashindano hayo.
Chriss thenyota Kinyume cha nikae kimya ya diamondi huu hapa pakua faster
Image
Taarifa mpya kuhusu Majambazi wanne walioua askari 8 Kibiti wauawa   Friday, April 14, 2017   Jeshi la Polisi Tanzania limesema limewaua majambazi wanne ambao walikuwa ni sehemu ya kundi la majambazi lililowashambulia na kuwaua askari 8 wilayani Kibiti mkoani Pwana jana usiku. Akiongea na waandishi wa habari Ijumaa hii, Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa jeshi hilo, Nsato Marijani amesema kuwa mara baada ya kundi hilo kuwashambulia askari, kikosi kingine cha askari kilifanya msako na kubaini maficho ya majambazi hao. Amesema baada ya kuwabaini, yalifanyika mashambulizi ya kurushiana risasi, ambapo majambazi wanne waliuawa pamoja na kukamata bunduki 4 zikiwemo SMG mbili zilibainika kuwa kati ya zile zilizoporwa na majambazi hao. Akielezea tukio hilo lilivyokuwa, Kamishna Marijani amesema kundi la waharifu walikuwa na silaha za moto na ambao idadi yao haikujulikana liliweka mtego na kufanikiwa kuishambulia kwa risasi gari iliyokuwa na askari...
KARIBU Thenyota hotnews JIONE FAHARI KUTEMBELEA KITUO CHAKO CHA HABARI NA TAFITI MBALIMBALI MICHEZO BURUDANI NDIO MAHALA PAKE MICHEZO MBALIMBALI YA KUAMBILI MATOKEO TUTAJADILIANA HAPA NA KUFANYA USHINDE KIURAHISI KAMA MTU NINAYEKUTHAMINI SANA NA KUJALI NAFASI YAKO KATIKA BLOG YANGU. NI MWANZO MPYA WA KUITAZAMA DUNIA KWA JICHO LA TATU. MAPENZI NA USHAURI UTAPATA KATIAKA BLOG HII NAKUSHAURI USIACHE KUITEMBELEA WE NA MIMI KWA PAMOJA TUTASHHAURIANA KILA KITU ELIMU MBALIMBALI KUTOKA KWA WATAFITI NA HATA MASHULENI NA VYUONI NITAKULETA HOT MUSIC UTAPATA HAPA YAANI ILE FRESH KUTOKA STUDIO TEMBELEA HAPA TEMBELE HAPA NAMI Thenyota hotnews 0753567367 0683567367 0655667367 FANYA KAMA UNASHARE HIVI MATUKIO TUPATE  KWA WAKATI ZAWADI KWAKO UNAEJITUMA TUPIGE KAZI WANANGU.