MAELEKEZO YA KIKAO CHA MKURUGENZI WA ELIMU (DEA) NA WALIMU-BARIADI
*KIKAO CHA MKURUGENZI WA ELIMU (DEA) NA WALIMU-BARIADI (TC & DC) 18/06/2024*
_Both organizational goals and individual goals should go parallel_
*Changamoto zilizobainika kutoka kwa Walimu*
1. Madaraja
2. Madai: mapunjo, uhamisho, likizo.....
*Kazi Msingi za Mwalimu*
•Malezi
•Utoaji maarifa
*Malezi*
-Kuwajibika katika kuwalea watoto/wanafunzi. Kwa moyo wa dhati pasi na kukata tamaa.
-Wajibu huu uwe kwa wanafunzi, jamii, mwajiri na taifa zima.
-Shule salama. Uwepo wa masanduku ya maoni
-Kuzungumza na wanafunzi juu ya vitendo kama (Ubakaji, ulawiti.....)
*Utoaji wa maarifa (Taaluma)*
-Kufundisha kwa hatua na dhati ya kweli
-Mwalimu aliyejiandaa na anayeandaa
-Mwalimu anayebadili mtazamo
-Kuwatia moyo wanafunzi katika ujifunzaji
_"Mwalimu bora ni anayemwezesha mwanafunzi na mwanafunzi ameweza"_
*Maelekezo ya Katibu Mkuu*
1. Ustawi wa Walimu (Chakula kazini, motisha stahiki....)
2. Viongozi watoe maelekezo kwa staha (Lugha ya staha)
3. Kutii na kuheshimu viongozi na maelekezo yanayotolewa
4. Afisa Elimu ndiye Wakili wa Mwalimu
5. Wanafunzi wa Sekondari wote waweze kuwasiliana kwa Kiingereza
6. Wanafunzi wa drs la 3 wahakikishe wanafunzi wanamudu stadi 4 za Kiingereza
7. Wanafunzi wa drs la 1 waweze kumudu stadi za KKK
*Maelekezo ya Serikali*
1. Kupandisha madaraja walimu zaidi ya 54,000/= (Mserereko) na Kupandisha madaraja walimu wengine 52,000/=
2. Miundo ibadilishwe kwa mujibu wa utaratibu
3. Kuvuta subira ya Madai (Arrears). Serikali inaendelea kulipa
4. Likizo na uhamisho yafanywe kwa (First In First Out)
5. Zitumike lugha za staha
6. Mahusiano mazuri na vyama vya wafanyakazi: CWT, CHAKUHAWATA.....
_"Haki na wajibu"_
Mwl Vincent Kayombo*
Muwasilishaji kutoka *OR-TAMISEMI*
@ *Na ACD*
Comments
Post a Comment
Tafadhari usicomment matusi