MAMBO MHIMU KWA MWALIMU KWA MWAKA 2022
Imeandikwa na MBEMBE J. S. EWE MWALIMU TUNAENDA MWAKA WA MASOMO 2022 TUJIEPUSHE NA MAMBO HAYA ILITUEPUKE MIGOGORO BAINA YETU NA WATAALUMA, WAKUU NA HATA WAMILIKI KUPELEKEA KUTUFUKUZA KAZI kuacha kazi rahisi ila kazi kupata kazi TUSIWALAUMU VIONGOZI TU HATA SIE WALIMU TUNAMAKOSA baadhi Mambo ni* 1:Epuka Kufanya kazi kwa mazoea (jitahidi kuwa mbunifu mshawishi boss wako kwanini alikuajiri wewe na aliachakuajiri wengine 2: Epuka Makundi kazini kuwa mtu flexible unapenda story ila out of work hour na sio muendelezo 3:Epuka Kuingilia madaraka Ambayo wewe haya kuhusu ya kiuongozi 4: Wahi kazini na kuwa mnyumbufu pindi ufikapo kazini na siku moja moja shiriki majukumu ya usimamizi ya Mambo ya Mwl wa zamu hata kama sio mwl wa zamu 5: Tanguliza kujitolea kwanza hata pasipo kutamani malipo na jitoe kwa ajiri ya shule kwanza 6: kuzingatia na kutii maagizo ya mtaaluma na kuwasilisha kwa wakati Mfn lesson plan , scheme, lesson notes , teac...