Posts

Showing posts from July, 2017

HUYU HAPA SCOOOPER FROM SONGEA NAWALETEA NICHEZE NA WEWE FANYA KUSIKILIZA

Fanya kumpitia youtube kwa link hii hapa https://youtu.be/f34_I4ge5bs

Mazoezi nonaaaa

Image
AMISS TAMBWE ASEMA KAMBI YA YANGA MOROGORO NI KAMA JESHINI RAHA ZA WALIMWENGU  /  5 hours ago Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Amiss Tambwe. Yanga ipo kambini Morogoro ikijiandaa kwa ajili ya msimu ujao, mshambuliaji wa timu hiyo, Amiss Tambwe amezungumza akiwa kambini na kuelezea kinachoendelea. Tambwe amesema kuwa kambi yao ni kama jeshi kwa kuwa mazoezi ni magumu na ni matamu, kwa kuwa anajua ili timu iwe fiti lazima wapate muda wa kujiandaa kama wanavyofanya wao. Amesema wapo mafichoni huko lakini kila kitu kinaendelea vizuri, pamoja na hivyo ameongeza kuwa atapambana ili kupata nafasi ya kuchukua kiatu cha dhahabu, yaani ufungaji bora. Ameongeza kuwa anajua msimu ni mgumu lakini atapambana anavyoweza ili kuiwezesha Yangakufanya vizuri licha ya kutambua kuwa msimu utakuwa mgumu.

Soma hapa magazeti ya leo ijumaaa

Image
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya July 21 MPEKUZI  /  2 hours ago

TCU WATAO VYOU VYOTE GUIDELINE BOOK

List of Undergraduate Degree Programmes for Holders of Ordinary Diploma or Equivalent Qualification

HIVI NDIVYO USAJILI ULIVYOKWENDA BARANI ULAYA ISIKUPITE

*1. EVERTON* *IN:* Wayne Rooney – Man Utd, free. Jordan Pickford – Sunderland, £30m. Davy Klaassen – Ajax, £23.6m. Henry Onyekuru – Eupen, £6.8m. Sandro Ramirez – Malaga, £5.25m. Michael Keane – Burnley, £30m. Josh Bowler – QPR, £4.25m. Cuco Martina – free agent. *OUT:* Tom Cleverley – Watford, £8m. Brendan Galloway – Sunderland, loan. Arouna Kone – released. Romelu Lukaku – Manchester United, £90m. *2. HUDDERSFIELD* *IN:* Steve Mounie – Montpellier, £11.5m. Laurent Depoitre – Porto, £4m. Mathias Jorgensen – FC Copenhagen, £3.5m. Jonas Lossl – Mainz, loan. Aaron Mooy – Manchester City, £10m. Tom Ince – Derby County, £11.3m. Kasey Palmer – Chelsea, loan. Danny Williams – Reading, free. *OUT:* none. *3. BOURNEMOUTH* *IN:* Asmir Begovic – Chelsea, £10m. Jermain Defoe – Sunderland, free. Nathan Ake – Chelsea, £20m. *OUT:* none. *4. MANCHESTER CITY* *IN:* Bernardo Silva – Monaco, £43m. Ederson – Benfica, £34.9m. *OUT:* Pablo Zabaleta – West Ham, f...

MAGAZETI YA LEO TAREHE 18 YAMENIFIKIA YASOME HAPA

Image
Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo July 18  2017  kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa. MtanzaniMilioneamea